visttanzania@gmail.com +255 759007776
Home >News

Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Shirika laVignan, Mbezi Beach (VIST) inatangaza udahili wa wanafunzi wa masomo ya stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) yatakayoanza Novemba 2020.   
Taasisi ipo Mbezi Beach mkabala na Shirika la Interchick kandokando ya Barabara ya Bagamoyo.

Wanafunzi wawe wamefaulu masomo manne alama ya D (isiwe somo la la dini), yakiwemo chemistry, biology na physics. Aliyefaulu hesabu na English atapendelewa. Aneyetaka kudahiliwa aweza kupata fomu za maombi katika Tovuti www.vist.ac.tz, au barua pepe visttanzania@gmail.com au kwa kupiga simu 0759007776